Tuesday, 12 August 2014

RATIBA YA KOMBE LA MABINGWA NCHINI MAREKANI

Tuesday, 12 August 2014 - by Super Skills Fc 0




Klabu kadhaa kubwa barani Ulaya zimeweka kambi nchini Marekani huku zikifanya maandalizi ya msimu ujao.

Timu tatu kutoka Uingereza,Manchester United,Manchester City pamoja na Liverpool zimeungana na Inter Milan,Roma na AC Milan na kushindania kikombe nchini humo(Champions Cup).

Mabingwa wa Ulaya,Real Madrid na Olympiakos wapo pia katika michuano hiyo ikiwa kama maandalizi ya kampeni zijazo za ligi mbalimbali zinazotaraji kuanza mwezi ujao.

Kombe hilo linashirikisha timu nane pekee zikiwa zimeunda makundi mawili huku kila mchezo wa kundi lazima mshindi apatikane na mwisho zitapita timu mbili za juu kutoka kila kundi.
Matokeo na Ratiba ya kundi A:
Julai 26:
 FT  Manchester United  3 – 2  Roma
 AET  Real Madrid  1 – 1  Inter Milan *

 Penati:  (2 – 3)
Julai 29:
 02:00  Manchester United  vs  Inter Milan
 10:15  Real Madrid  vs  Roma
Agosti 2:
 20:00  Inter Milan  vs  Roma
 23:05  Manchester United  vs  Real Madrid
Msimamo:
 #  Timu  P  W  D  L  F  A  GD  Pts
 1  Inter Milan  1  1  0  0  4  3  1  3
 2  Manchester United  1  1  0  0  3  2  1  3
 3  Real Madrid  1  0  0  1  3  4  -1  0
 4  Roma  1  0  0  1  2  3  -1  0
  
Matokeo na Ratiba ya kundi B:
Julai 24:
 FT  Olympiakos  3 – 0  AC Milan
Julai 27:
 FT  AC Milan  1 – 5  Manchester City
 FT  Liverpool  1 – 0  Olympiakos
Julai 30:
 02:00  Manchester City  vs  Liverpool
Agosti 2:
 22:00  Olympiakos  vs  Manchester City
 01:30  AC Milan  vs  Liverpool
Msimamo:
 #  Timu  P  W  D  L  F  A  GD  Pts
 1  Manchester City  1  1  0  0  5  1  4  3
 2  Olympiakos  2  1  0  1  3  1  0  3
 3  Liverpool  1  1  0  0  1  0  1  3
 4  AC Milan  2  0  0  2  1  8  -7  0

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

© 2013 SUPER SKILLS FC. WP Theme-junkie converted by Bloggertheme9