Tuesday, 12 August 2014

CRISTIAN RONALDO AIONGOZA MADRID KUICHAPA SEVILLE BAO 2-0 NA KUTWAA UBINGWA WA SUPER CUP

Tuesday, 12 August 2014 - by Super Skills Fc 0

Mchezaji nyota christian Ronaldo ameifungia mabao yote mawili timu yake ya Real madrid dhidi ya FC Seville  katika mchezo wa UEFA super cup Uliopigwa nyumbani Kwa Gareth Bale Mjini Kardiff kwenye dimba la Millenium.Nyota huyo aliyekuwa mchezaji wa zamani wa manchesta united ameifungia tim u yake hiyo mbele ya mashabiki 33,500 na kuipa ubingwa timu hiyo ya Real Madrid kwa mara nyingine tangu mwaka 2002, Mchezo pia ulihudhuriwa na kocha wa zamani wa Machesta United Sir. Alex Ferguson.katika mchezo huo pia  Real Madrid iliwatumia wachezaji wake wapya waliyowasajili ambao ni mjerumani  Toni kroos Pamoja na mshambuliaji raia wa argentina James Rodriguez.

Tags:
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

© 2013 SUPER SKILLS FC. WP Theme-junkie converted by Bloggertheme9