Club ya Super skills football ya vijana walio na umri chini ya miaka 14, ambayo Inapatikana Kimara Baruti Mtaa wa Kwa mtabili. Ilitolewa katika michuano ya CHAMPION CUP Katika mchezo wa fainali uliyozikutanisha kati yao na mahasimu wao wakubwa ANU STAR Baada ya kuchapwa bao 1-0. Mashindano hayo yaliandaliwa na UONGOZI wa CHAMPION FC.Mashindano hayo yalikuwa maalum kwa wachezaji walio na umri chini ya miaka 14.

About the Author
0 comments: