Tuesday, 12 August 2014

MARCIO MAXIMO KUINOA YANGA SANA KWA MARA YA KWANZA.

Tuesday, 12 August 2014 - by Super Skills Fc 0




Kocha Marcio Maximo aliechukua mikoba ya kuifundisha timu ya Yanga, ataanza na kibarua cha michuano ya Kagame, ambayo itafanyika huko Rwanda kuanzia Tarehe 8 mwezi wa Nane.

Yanga ipo kundi A, na itaanza na Rayon. Katika kundi hilo ipo pia KMKM kutoka Zanzibar na Atlabara FC kutoka Sudani

Washiriki pekee kutoka Tanzania ni KMKM na Yanga SC

About the Author

Write admin description here..

0 comments:

© 2013 SUPER SKILLS FC. WP Theme-junkie converted by Bloggertheme9