Monday, 11 August 2014

HABARI YA HIVI PUNDE: DIDIER DROGBA ATAIKOSA LIGI KUU YA ENGLAND KWA MIEZI MINNE MPAKA SITA; BOFYA HAPA.

Monday, 11 August 2014 - by Super Skills Fc 0



Didier Drogba akigumia maumivu

Didier Drogba huenda asirudi uwanjani katika kipindi cha miezi minne mpaka sita kufuatia jeraha la kifundo alilolipata wakati wa mchezo wa maandalizi ya msimu dhidi ya Ferencvaros Jumapili iliyopita.



Mshambuliaji huyo wa 'The Blues' amekumbwa na jeraha hilo wakati akishuka chini kutoka hewani akipiga mpira kichwa dakika ya 28 mchezo ambao Chelsea ilishinda 2-1 huko Groupama Arena mjini Budapest.




Huu ni mfano wa jeraha la Drogba

Gazeti la Marca la nchini Hispania limedai kuwa jeraha la Drogba linaweza kuwa baya zaidi ya hapo awali kwani vipimo vinaonyeshwa kuwa mifupa inayounganisha kikanyagio na kisigino imeachana.

Tags:
About the Author

Write admin description here..

0 comments:

© 2013 SUPER SKILLS FC. WP Theme-junkie converted by Bloggertheme9